Hiki ni kipimo cha tabia?

regan morgan

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
186
Reaction score
53
Nimegundua kuwa ukitaka kujua tabia halisi ya mpenz,rafiki na ndugu yako subiri apate pesa za kutosha. je kuna ukweli wowote juu ya hili jambo?
 
Inategemea kila mtu na tabia yake, wako wenye pesa na wana tabia nzuri na wanasaidia masikini, na wako wenye pesa wana kuwa kama firauni, na wanadhulumu watu..Yani huwezi kugundua nani ni nani mpaa uishi nao:biggrin:
 
Pesa shetani anayeabudiwa,
Kwa washamba wengi wakipata pesa tu hubadirika na kutaka kuonekana miungu watu.

Na watu wanamatatizo sana mtu akiwa na pesa tu wanaanza kumsujudia na kumpetapeta hii pia inampa kichwa nakuleta dharau kwa watu!
 
Na maisha ya kibongobongo haya utasubiri kwelikweli...mpaka atakapokuja kupata pensheni yake
 
nakuunga mkono ndugu,siri ya mtungi,
Inategemea kila mtu na tabia
yake, wako wenye pesa na wana tabia nzuri na wanasaidia masikini, na
wako wenye pesa wana kuwa kama firauni, na wanadhulumu watu..Yani huwezi
kugundua nani ni nani mpaa uishi nao:biggrin:
 
pesa inamfanya mtu awe muwazi b'coz kupretend kunapungua
 
Mi hata yangu sijaijua walahiiiii..
Coz bado nazisaka day n night!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wanaume matapeli wa ndoa zao akipata pesa mama hashiki mfuko akiwa mtupu utasikia angalia kama kuna chochote
 
wanaume matapeli wa ndoa zao akipata pesa mama hashiki mfuko akiwa mtupu utasikia angalia kama kuna chochote
mwanaume akipata pesa familia za nje zinaongezeka, ila mwanamke akipata pesa kila siku yeye anakuwa na vikao vya faragha na wafanyabiashara wenzake kama njia ya kupatia ruhusa,kumbe analea mtu nje ya ndoa
 
vikoba saccos hakuna cha zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…