jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,398 Reaction score 25,531 Dec 15, 2023 #22 kindude said: Wakuu Najua humu ni zaidi ya Google,hiki kinywaji nimekutananacho sehem nikashindwa kujua,karibuni kwa msaada pleaseView attachment 2842599 Click to expand... Labda ulitaka maoni ya watu ambao wameshaitumia. Lakini ungeanza na google kwanza… https://m.facebook.com/597800130697558/posts/fantasy-ginger-soft-drinkni-dawa-yenye-tiba-asiliaimetengenezwa-na-vitu-vingiina/1200160513794847/
kindude said: Wakuu Najua humu ni zaidi ya Google,hiki kinywaji nimekutananacho sehem nikashindwa kujua,karibuni kwa msaada pleaseView attachment 2842599 Click to expand... Labda ulitaka maoni ya watu ambao wameshaitumia. Lakini ungeanza na google kwanza… https://m.facebook.com/597800130697558/posts/fantasy-ginger-soft-drinkni-dawa-yenye-tiba-asiliaimetengenezwa-na-vitu-vingiina/1200160513794847/
Mjukuu wa mama Member Joined Sep 18, 2023 Posts 35 Reaction score 45 Dec 15, 2023 #23 kindude said: Wakuu Najua humu ni zaidi ya Google,hiki kinywaji nimekutananacho sehem nikashindwa kujua,karibuni kwa msaada pleaseView attachment 2842599 Click to expand... Sehemu za ngara na viunga vyake nyingi sana ,wanatumia kama soda tu.
kindude said: Wakuu Najua humu ni zaidi ya Google,hiki kinywaji nimekutananacho sehem nikashindwa kujua,karibuni kwa msaada pleaseView attachment 2842599 Click to expand... Sehemu za ngara na viunga vyake nyingi sana ,wanatumia kama soda tu.
issac77 JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 5,817 Reaction score 12,653 Dec 15, 2023 #24 kindude said: Mkuu inaonekana unaijua vizur, balaa kiaje Click to expand... mkuu ungekuwa karibu ningekuachia chupa moja ukasimlie huko
kindude said: Mkuu inaonekana unaijua vizur, balaa kiaje Click to expand... mkuu ungekuwa karibu ningekuachia chupa moja ukasimlie huko
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,356 Reaction score 62,374 Dec 15, 2023 #25 Kunywa kwanza ili kama inaua tujue siku nyingine tuwakataze watu wengine
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 38,020 Dec 15, 2023 #26 Tate Mkuu said: Kuna watu watakuja kukuambia hicho ni kinywaji kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume. Click to expand... Ndo ushasema hivyo..!!
Tate Mkuu said: Kuna watu watakuja kukuambia hicho ni kinywaji kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume. Click to expand... Ndo ushasema hivyo..!!
Oscar Lyrics JF-Expert Member Joined Oct 8, 2022 Posts 2,975 Reaction score 5,112 Dec 15, 2023 #27 Lipia tangazo
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,349 Dec 15, 2023 #28 Alimradi kimethibitishwa na TBS kitafaa kwa matumizi......toa uelekeo kinapopatikana.