Humu jukwaani kuna wajuvi wengi sana Niko na jamaa yangu kaokota hiki kifaa hapa alafu kinahema kwa mbali sijui madini gani haya mwenye ambaye anajua atuambie basi,
Kuna aina flani ya madini yamo humo ndani, cha kufanya chomoa hicho kipini chake ambacho kimeshikizwa na hiyo ringi hapo, halafu mimina. Umetajirika mkuu