Hiki ni kichocheo kumfikisha mwanamke kileleni

Hiki ni kichocheo kumfikisha mwanamke kileleni

Lazima tukubali mkuu....wanawake wanapojua tayari wameshapata security ya maisha (Wakishaolewa) wanajisahau sana mkuu. Hawawezi kupiga ile kazi ya zamani na kila kitu wanachukulia poa...sasa unapotoka na kukutana na mlaji....hahahahahahaahah....unaweza potelea huko kabisa. Jambo la msingi ni kukaa na mkeo na kuongea namna ya kuboresha huduma hiyo nyumbani....Ni hayo tu
 
Jamani, natumaini wazima.

Nimekuwa nafikiria sana ila naona nimepata majibu. Kabla ya kuwa mwaminifu kwenne ndoa yangu, ilikua nikichepuka nje ya ndoa nilikua nafunga goli nne hadi tano ukiachilia mbali zile za kuunganisha.

Lakini ilikua nikirudi kwa mke wangu, napiga moja tu nakuwa mchovu kabisa! Ila, nilichogundua ni kwamba huko nje mtu ukichomoka,

Basi ukimkuta mwanamke anaekusifia, na kukuongelesha kwa sauti nzuri na yakuvutia, mwanangu unapiga hadi unajisahau kwamba uko dunia hii.

unakuta anakupa maneno matamu.."chukua yote..eeeee! nakuachia mpenzi, haaaaa hapo umeniweza...nk nk" yaani hapo anakuchanganya kabisa! Mwingine hadi anatoa machozi namna na anvyonogewa na hiyo ni chachandu kabisa!

Sasa back home! DUUUU! Romance kila upande na kwenye sehemu zenye hamasa unaona jicho kalikodoa tu!

Piga mwanangu unaona kimyaaa tu! Sasa hapo mtu utapiga ngapi? Sasa ugumu unapokuja, je utamwambia mkeo kwamba nae aanze kukusifia au kulialia? ataanzaje?

Haya ni mambo ambayo nayakumbuka enzi zileeee, lakini kwa vile nilishaacha kuvinjali nje, nayamezea tu.

Nawasilisha jamani.


Angalia sana hapana chezea mama yoyo, utavunja ndoa we endelea kuuchuna tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom