Hiki ndio kilichozungumzwa TICAD

Hiki ndio kilichozungumzwa TICAD

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
17,079
Reaction score
12,308
Hiki ndicho kilichozungumzwa TICAD, wajasiliamali wadogo kupatiwa 1mUS$, sekta binafsi yapigiwa chapuo, lengo kuzalisha 25% ya ajira za Africa. Japan kutoa 30b US$. Jamani tuchangamkie fursa sasa.

 
Hii imekaa vizuri, tuachane na biashara za kuandamana hazilipi
 
Back
Top Bottom