MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Ngoja niweke sawa hapa kidigo. mtoa mada Namba 7 haieleweki ifanyie editing! kuhusu namba nane nina mashaka, wivu tunaruhusu lakini uwe na kiasi, kwa sababu wivu wa kupindikia ni kero.. haya wadada semeni lipi gumu hapo...Yafuatayo ni mambo wanaume anapenda kutendewa na m2 wake.
1.mwanamke asiombe pesa.
2.mwanamke alale nae kila anapomhitaji
3.mwanamke asianga sms za mwanaume wake
4.mwanamke asifatilie nyendo za mume
5.akipigiwa cm na mwanamke asiulize ni nani kapiga
6.mwanamke asigombane na mumewe
7.mwanamke kiukweli mumewe
8.mwanamke asiwe na wivu.sasa wanawake kipi kigumu apo timizeni haya basi tuishi kwa amani majumbani
Mkuu asiombe pesa wakati muhusika hutoi, nani atamtunza sasa maana mwanamke matunzo# 1 imetulia
Mkuu kwenye kila point uliyoieleza ina sababu ya kwanini inatokea kinyume cha ulivyoandika, itawezekana tu kuwa hivyo endapo kuna mambo mwanaume atayafanya. mfano number 1 inakuwa ngumu mwanamke kukaa kimya wakati muhiska hutui hela na huku unajua hana chanzo cha mapato nani ampe hela mwanamke matunzoYafuatayo ni mambo wanaume anapenda kutendewa na m2 wake.
1.mwanamke asiombe pesa.
2.mwanamke alale nae kila anapomhitaji
3.mwanamke asianga sms za mwanaume wake
4.mwanamke asifatilie nyendo za mume
5.akipigiwa cm na mwanamke asiulize ni nani kapiga
6.mwanamke asigombane na mumewe
7.mwanamke kiukweli mumewe
8.mwanamke asiwe na wivu.sasa wanawake kipi kigumu apo timizeni haya basi tuishi kwa amani majumbani
Mkuu asiombe pesa wakati muhusika hutoi, nani atamtunza sasa maana mwanamke matunzo
No 2
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Yafuatayo ni mambo wanaume anapenda kutendewa na m2 wake.
1.mwanamke asiombe pesa.
2.mwanamke alale nae kila anapomhitaji
3.mwanamke asianga sms za mwanaume wake
4.mwanamke asifatilie nyendo za mume
5.akipigiwa cm na mwanamke asiulize ni nani kapiga
6.mwanamke asigombane na mumewe
7.mwanamke kiukweli mumewe
8.mwanamke asiwe na wivu.sasa wanawake kipi kigumu apo timizeni haya basi tuishi kwa amani majumbani
Nasubiri opposite version...maana ni nyie tu mridhishwe