stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,150
"Aonywae mara nyingi akishupaza shingo,
Atavunjika ghafula, wala hapati dawa.
Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi;
Bali mwovu atawalapo, watu huugua." MITHALI 29:1-2.
Tanzania is our MOTHERLAND, ukiitambua maana ya Nahau hii kongwe utagundua kuwa hata wewe Tanzania ni nchi yako. Hakuna anayemuabudu JPM lakini kumheshimu mfalme ni wajibu wa kimaandiko na amri ya Mungu ktk Misahafu ya dini zote.
Sent using Jamii Forums mobile app
hv viroba vipo??Viroba vya mchana vinasababisha ndoto mbaya