Ahahahahaaa dah umenikumbusha miaka ya nyuma nilkwenda kuonyeshwa wanavyopika ile kuingia tu Yale yanayochemshwa yakachemka kwa nguvu hadi yakachanganyika na gongo yenyewe utengenezaji ilikuwa tofauti na huo mtambo, nilitimuliwa na kuambiwa ati Nina kichwa kibaya Bahati nzuri sikuwaomba wanionyeshe baada ya kuwaambia siijui ndio wanipeka humo wao wenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.