Hiki kitu kinaniumiza kichwa

Siri Sirini

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
547
198
Eti binadamu hatulingani kwenda juu au chini? Yani urefu upo kwenda juu au kwenda chini? Nielewesheni pls
 
Ngoja kwanza nile

Hamna cha ngoja kwanza!
Iko hivi Biologicaly urefu wa Binadamu toka kiuno => kichwa uko sawa.
Toka kiuno => nyayoni si sawa, tha's why tunapokua kwenye kupeana tendo hapawi na tatizo la kutafautiana maeneo husika kwa shughuli husika.
Jaribu utafute sehemu pafugwapo Kuku na Khanga, utaona mara kadhaa Jogoo hujaribu kumpanda Khanga jike, utakachokiona kitakupanua skills dhidi ya hiki ulichokiuliza hapa.
 
nimekupata judgement
 
mi huwa nikipata swali kama hili.....halafu iwe ijumaa kama leo....ikifika saa kumi jioni naanza kunywa st anna huku nikitafuta mdudu mzuri anachomwa wapi....very simple.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom