aisee hicho kinywaji kilinishinda nakumbuka nipo shule ya msingi kama darasa la kwanza miaka ya 80 kuna mama alikuwa anauza Togwa basi siunajua kijua cha saa tano nami narudi nyumbani nikaamua kupata japo kipooza koo..loh aisee kupuga funda chache nikarudisha chenji sijui mkemia mkuu alikosea kanuni toka siku hiyo ikawa mwisho wa kunywa togwa.ila nilikuwa nafurahia kula Mabumunda na bwimbwi kwa huyo mama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.