Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,491
- 100,885
Hahhaaaa nimesoma kwa raha nikajua basi leo hatimae mwana JF mwenzetu charminglady kaamua kutoa ya moyoni kumbe ni yale yale, "nimetumwa na mtu" , rafiki yangngu, shemeji yangu........ni lini tutakubali kuwa haya tnayoyaongea ni ya kwetu na sio ya watu wengine??
Mpe pole zake ila jamani, huuu ugonjwa wa kuitana uboifrendi na ugelifrendi huu ndio uende kabisa ukapike? Ukafue? ukalale?? Mmhh
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe
sasa chagua kusuka au kunyoa...
na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe
haraka ya nini?
halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?
utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?
je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?
naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..
ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...
Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa....
ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda...
Nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa.
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe
sasa chagua kusuka au kunyoa...
na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe
haraka ya nini?
halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?
utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?
je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?
naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..
ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...
Kaka The BOSS, utumwa mwingine huo.sisi waislamu tuna ambiwa hivi,mfikirie mwenzio vizuri...hata kama umemuoana mwanaume na mwanamke wanatoka kichakani jiambie ya kuwa walikwenda kila mmoja kivyake pale kichakani kutafuta mbuzi wao aliyepotelea kichakani na wakakutana kwa bahati mbaya..hata kama wanatokea guest na ukawaona,jiambie ile ni nyumba ya wageni na wametoka pale kutazama mgeni wao aliyefikia pale...ryt? Maadamu hujamfumania mchumba wako,uache hisia mbaya,ndoa na mahusiano mengi duniani yamekufa kwa sababu ya hisia mbaya,sio kwa sababu za ukweli...take it from me!
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe
sasa chagua kusuka au kunyoa...
na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe
haraka ya nini?
halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?
utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?
je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?
naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..
ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...
Habari zenyu binafsi,
Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa, ndani ya huo muda kumekuwa na mitafaruku ya hapa na pale ila tumesolve na tunasonga. Nafahamika kwao naye nanafahamika kwetu kwa malengo ya kwamba mwakani panapo majaaliwa tufunge ndoa.
Sasa kitu kinachonitatiza ni hiki, boyfriend wangu anaishi na kaka yake, yaan kaka yake ndiye nayeishi kwa boyfriend wangu. Juzi kati nimeshuhudia kitendo ambacho sijakifurahia hata kidogo na kinanitatiza sana.
Iko hivi, ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda. Kufika nikakuta mazingira ya uwepo wa msichana ndani, na kweli nilipogonga akaja kufungua. Roho ilipasuka nikahisi mke mwenza, alinikaribisha as if yeye ndiyo mwenyeji, nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa. Kufika nikamkuta bidada kajaa tele jikoni anapika, nikamuuliza unaitwa nani na umetokea wapi na ni mgeni wa nani? Akanijibu ni mgeni wa "Jay" ambaye ndiyo shemeji yangu. Basi nikamtaarifu Boyfriend wangu uwepo wa mgeni huyo. Naye kaonekana kushangaa make yule shemeji yangu naye ana mchumba tofauti ya yule bidada aliyeko jikoni. Na kwa wakati huo mchumba wa shemeji yangu alikuwa kasafiri.
Basi baada ya muda Shemeji karudi na pia boyfriend wangu akarudi ila sikuona kama boyfriend wangu kachukizwa na kile kitendo cha kaka yake kuleta msichana mwingine pale kwake tofauti na anayefahamika. Mbali na hilo kuna siku tulikuwa tumetoka out ile kurudi shemeji akatoka chumbani kwake akiwa ameongozana na msichana mwingine tofauti na mchumba wake na pia tofauti na yuleeee bidada niliye mkuta jikoni.
Kiukweli nilichukizwa kile kitendo cha shemeji kubadilia wasichana watatu ndani ya mwezi mmoja, nilimhoji mchumba wangu, kwanini kaka yake nafanya vitendo vile mbele yake na yeye mdogo mtu hachukui hatua hata ya kumkanya? Pale sio ghetto bali ni nyumba ya familia, heshima inatakiwa kuwepo, yaan nilionekana mwiba make kidogo nichakazwe reception.
Kitendo kile ninanitatiza sana, kama kaka mtu anaweza kufanya vile mbele ya mchumba wangu na mchumba wangu haonekani kuchukua hatua wala kuchukia si hata mchumba wangu pia anafanya hayo????? Yaan nimekosa imani naye tena nahisi hata mimi nisipokuwepo naye huwa ananifanyia hayo hayo!! As Birds of the same feather flock together.
Naomba ushauri wenu....
Ndimi Dada Hawa C/O charminglady
Kwa nini mnapenda sana kugeneralise mambo? Ushauri huu umejaa ukakasi.
Mosi house keeping ni jukumu la mwanamke na kabla hujamuoa ni sahihi kwa yeye kuyafanya majukumu hayo kwani ndio rehearsal ya ndoa.
Au nyinyi mnataka boyfriend wake ndio apike wakati mamito yupo mjengoni?
Kuhusu umalaya hiyo ni fani na maumbile ya watu si kweli kwamba ndege wafananao huruka pamoja.
Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana yeye akiamuwa kwa siku moja anaweza akabadili mpaka wasichana watatu kusigina amri ya 6. Na tabia yake hii haijawahi kuniathiri mimi kimahusiano maana ukiacha tabia yake hii ya kupenda totoz ni kichwa cha uhakika na ni mashine ya kazi kwenye kazi zetu.
Mwanamke wakunishauri kukatiza urafiki wangu na mtu huyu basi niko tayari kuachana na mpenzi wangu na si rafiki huyu ambaye machoni pa wazembe ni play boy ila machoni mwangu hii ni engene na mashine ya ukweli with unique iq.
Dah..! wivu bana noma kweli.Habari zenyu binafsi,
Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa, ndani ya huo muda kumekuwa na mitafaruku ya hapa na pale ila tumesolve na tunasonga. Nafahamika kwao naye nanafahamika kwetu kwa malengo ya kwamba mwakani panapo majaaliwa tufunge ndoa
Sasa kitu kinachonitatiza ni hiki, boyfriend wangu anaishi na kaka yake, yaan kaka yake ndiye nayeishi kwa boyfriend
wangu. Juzi kati nimeshuhudia kitendo ambacho sijakifurahia hata kidogo na kinanitatiza sana.
Iko hivi, ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda. Kufika nikakuta mazingira ya uwepo wa msichana ndani, na kweli nilipogonga akaja kufungua. Roho ilipasuka nikahisi mke mwenza, alinikaribisha as if yeye ndiyo mwenyeji, nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa. Kufika nikamkuta bidada kajaa tele jikoni anapika, nikamuuliza unaitwa nani na umetokea wapi na ni mgeni wa nani? Akanijibu ni mgeni wa "Jay" ambaye ndiyo shemeji yangu. Basi nikamtaarifu Boyfriend wangu uwepo wa mgeni huyo. Naye kaonekana kushangaa make yule shemeji yangu naye ana mchumba tofauti ya yule bidada aliyeko jikoni. Na kwa wakati huo mchumba wa shemeji yangu alikuwa kasafiri.
Basi baada ya muda Shemeji karudi na pia boyfriend wangu akarudi ila sikuona kama boyfriend wangu kachukizwa na kile kitendo cha kaka yake kuleta msichana mwingine pale kwake tofauti na anayefahamika. Mbali na hilo kuna siku tulikuwa tumetoka out ile kurudi shemeji akatoka chumbani kwake akiwa ameongozana na msichana mwingine tofauti na mchumba wake na pia tofauti na yuleeee bidada niliye mkuta jikoni.
Kiukweli nilichukizwa kile kitendo cha shemeji kubadilia wasichana watatu ndani ya mwezi mmoja, nilimhoji mchumba wangu, kwanini kaka yake nafanya vitendo vile mbele yake na yeye mdogo mtu hachukui hatua hata ya kumkanya? Pale sio ghetto bali ni nyumba ya familia, heshima inatakiwa kuwepo, yaan nilionekana mwiba make kidogo nichakazwe reception.
Kitendo kile ninanitatiza sana, kama kaka mtu anaweza kufanya vile mbele ya mchumba wangu na mchumba wangu haonekani kuchukua hatua wala kuchukia si hata mchumba wangu pia anafanya hayo????? Yaan nimekosa imani naye tena nahisi hata mimi nisipokuwepo naye huwa ananifanyia hayo hayo!! As "Birds of the same feather flock together."
Naomba ushauri wenu....
Ndimi Dada Hawa C/O charminglady
Heheh...
Mi nakushauri uhamie kabisa huko kwa boifrendi wako ili ukabe vizuri hadi penati...tena ikiwezekana mzalie kabisa na ka junior...
Bi mkubwa unaonekana mshazoeana hadi waenda kujipikilisha, wabadilisha hadi nguo huko(bila shaka umechongewa na kabati la nguo)...
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe
sasa chagua kusuka au kunyoa...
na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe
haraka ya nini?
halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?
utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?
je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?
naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..
ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...
Khaa!
Pilipili usoila yakuwashia nini?
...
Unataka kucontrol nyumba kabla ya wakati?
...
Kwanini usiwe na imani na boyfrnd wako kwa matendo ayafanyayo kaka yake?
Ivi hujawai kuona mama mcharuko but mtoto katulia?
For sure boyfrnd wako hawezi kufanya kama utakavyo wewe!
Amgombeze mbele yako!
...
Na akimgombeza tu ataambiwa hivi "unajifanya mjuaji coz nipo kwako?"
...
Embu tulia utuwe kuna baadhi ya vitu ke mnachokoroa wenyewe!