Hiki kikosi cha CHADEMA kivunjwe!

Green guard wameshindikana kutumia mpaka sisiem itumie police na wanajeshi!!? Ama hilo hukuliona!?
 
Hivi akili zako huwa unazipima kuona kama ziko sawa? Baada ya uchaguzi chadema walitoa tamko la watu kuwa watulivu? Au kufanya fujo? Au unatafuta wachangiaji na wewe uonekane upo Jf? Acha chuki za kishoga wewe! Utatiwa
Ndio maana nimesema hakuna faida yoyote ya kuwa na kikosi ambacho huwezi kukitumia pindi vita inapotokea.

Kikosi kiliundwa ili kupambana na wizi wa kura lakini hakikufanya kazi yake.

Kikosi kiliundwa ili kuilinda CHADEMA lakini hakikuilinda wakati na baada ya uchaguzi.
 
Tehetehetehetehe. Hivi wale vijana 191 wa IT bado wananyea debe? Nafahamu wale vijana wa Kijo Bisimba pamoja na Yeriko Nyerere wapo nje kwa dhamana
 
Ndio maana nimesema hakuna faida yoyote ya kuwa na kikosi ambacho huwezi kukitumia pindi vita inapotokea.

Kikosi kiliundwa ili kupambana na wizi wa kura lakini hakikufanya kazi yake.

Kikosi kiliundwa ili kuilinda CHADEMA lakini hakikuilinda wakati na baada ya uchaguzi.
Mkuu, hapo ndipo inapodhihiri kuwa hakuna kura iliyoibiwa bali walishindwa kihalali kabisa. Basi tu wanashindwa kusema ukweli
 
Sababu hoja yako umefikiria kutumia Masaburi tumia akili uone utakavyojibiwa.
Kinachoshangaza unadai hoja imeandikwa kwa kutumia masaburi lakini umeganda kwenye hoja hiyo.

Huoni kama wewe ndiye una matatizo zaidi.

Ni sawa na kudai choo kinanuka sana halafu ukaganda ndani ya hicho choo bila kutoka. Watu waliokusikia ukidai choo kinanuka watakuona wewe una matatizo kiakili!

Achana na thread iliyoandikwa kwa fikra za masaburi!
 
VIP green guard mbona hauizungumzii . Naona leo ni half day so buku Saba umeshachukua mapemaaa. Lumumba at work
Hata wewe unaweza tu kuizungumzia hiyo green guard! Feel free kwa sababu hili ni jukwaa huru!

Mambo ya buku saba wala yasikusumbue!

Jikite kwenye mada!
 
Kumjibu mtoa hoja ni matumizi mabaya ya muda.....nadhani tungeweza tu kusoma na kumwachia mada yake ya aliyoelekezwa kuiandika....
Kwani ulichokifanya kwa sasa ni nini?

Tatizo lako hufahamu kama umeisha jibu.

Unge make sense kama ungesoma na kuondoka bila kuweka comment.

Ndiyo yaleyale ya hadithi ya Mimi Sijasema!
 
Tuliambiwa kupitia kikosi hiki kuwa CCM hawawezi kuchomoa katika Uchaguzi Mkuu 2015!

Tukasisitizwa sana kupitia kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe kuwa dawa ya CCM ya kuiba kura imepatikana na kama CHADEMA haitaingia Ikulu basi atajiudhuru!

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akaingia gharama ya kuzunguka nchi nzima kutoa mafunzo, kukiimarisha na kutoa vyeti na viapo kwa wahitimu wa mafunzo.

Tukawaona vijana wengine waliohitimu mafunzo wakiwa wamevaa welding goggles kama vile wamehitimu kazi ya kuchomelea vyuma huku wengine wakiwa wamevaa Knee Pads kama wanakwenda kwenye jungle warfare.

Uchaguzi Mkuu ukafanyika, matokeo yakatoka ambapo CHADEMA ilipata wabunge 35 kwenye majimbo 162 ya uchaguzi. Nafasi ya Urais wa Tanzania ikaota mbawa.

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA akaitisha press conference, akalalamika kuwa ameibiwa kura zake wakati hiki kikundi kilipewa kazi ya kuzilinda kura zake.

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA akatangaza kuwa yeye ni mshindi wa kura za Urais lakini hiki kikundi hakikujitokeza kumsaidia kwenda kuidai Ikulu kama alivyoahidi Juma Duni Haji, Mgombea Mwenza wa Urais Tanzania pamoja na kwamba kimefudhu mafunzo ya kutumia nguvu badala ya akili.

CHADEMA imegharamia muda na rasilimali pesa nyingi kwenye hiki kikundi lakini hakijaleta faida yoyote.

Waliokianzisha hawakufahamu kuwa kura kwa sasa katika karne ya 21 zinalindwa kwa njia ya Information technology na sio nguvu za mwili(kufahamu karate).

Hiki kikundi kinatumia outdated mentality katika karne ya 21. Hakifai!

Huu ni wakati wa kukivunja kwa sababu hakina manufaa yoyote katika ukuaji wa CHADEMA.

Asiyesikia la mkuu...!

DSC_0037.JPG

Baadhi ya vijana wa Red Brigade wa CHADEMA wakiwa wanakula kiapo cha utii mbele ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe baada ya kuhitimu mafunzo yao ya ulinzi na karate.
mbowe_Red%2BBrigade.jpg

Lwakatare.jpg

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) ambapo Vijana hao walikula kiapo cha utumishi mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe.

Hawa jamaa wanajua kujiongeza ongeza kweli.duuuuu
 
Mtoa hoja kwanza pole sana, pili nikupongeze kwa kukiri kuwa ccm waliiba kura! To make the story short naishia hapa!
Aliyedai ameibiwa kura ni Lowassa!

Hii ina maana kuwa kikosi cha ulinzi wa kura hakikufanya kazi zake.

Hiki kikosi kinafaa kuvunjwa kwa sababu kimemkosesha Lowassa ushindi wa kuingia Ikulu!
 
Lowasa amedai ameibiwa kura wewe unaonaje? Kama hajaibiwa hukuwa na haja ya kuleta post yako hapa
 
Kinachoshangaza unadai hoja imeandikwa kwa kutumia masaburi lakini umeganda kwenye hoja hiyo.

Huoni kama wewe ndiye una matatizo zaidi.

Ni sawa na kudai choo kinanuka sana halafu ukaganda ndani ya hicho choo bila kutoka. Watu waliokusikia ukidai choo kinanuka watakuona wewe una matatizo kiakili!

Achana na thread iliyoandikwa kwa fikra za masaburi!

Tehe tehe tehe nimecheka sana! Umetoa mfano wa choo, nimekumbuka yale madongo ya Dr. Slaa alipowaambia CHADEMA wasiwanyooshe vidole CCM...hao CCM watazungumziwa kwa wakati wao CHADEMA wajiangalie kwanza wao.

Unapoamua kupakua kinyesi kutoka chooni na kukihamishia kwenye chumba cha kulala kipi kitakuwa choo? Chumba cha kulala...na hutaweza tena kulala kwenye chumba hicho kwa sababu wakati unapakua kinyesi na kukihamisha ulikuwa unakoroga tehe tehe tehe!
 
Lazima ifike hatua tuendeshe mambo kisayansi na siyo kila siku kuwahadaa wananchi, Hivi vyama vya siasa hasa ccm na chadema wanachama wake wanaongozwa kwa hisia zaidi kuliko nguvu za hoja, uwezo na ufanisi, kila siku wanatuhubiria wameibiwa kura lakini ukiwauliza swali la Msingi, kila kituo waliweka mawakala basi waitishe press conference waonyeshe wananchi form kutoka kwa mawakala na kuonyesha wapi ushindi wao ulipo,, kuna vitu vingine ni hadaa kama waliweka mawakala nchi nzima hivi wanapo dai kuwa waliibiwa kura je aliye iba au aliyeshiriki kuiba hizo kura ni mawakala wao wenyewe.
jambo lingine la msingi ni CCM kubadilika na kuheshimu misingi ya demokrasia na wao wanavyo ngangania Umeya wa Dar hii inazihilisha kuwa hawa jamaa ni wezi wa kura. wanapaswa kubadilika
 
Hukumsikiliza rais wa watz lowassa alivyowakataza vijana wa red brigade pamoja na wafuasi wa chadema kuwa watulivu?au ulitamani vurugu zitokee ili unufaike na tabia yako ya ujambazi na uporaji?
Hata wasinge katazwa wasinge fanya lolote lile......
 
Tuliambiwa kupitia kikosi hiki kuwa CCM hawawezi kuchomoa katika Uchaguzi Mkuu 2015!

Tukasisitizwa sana kupitia kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mbowe kuwa dawa ya CCM ya kuiba kura imepatikana na kama CHADEMA haitaingia Ikulu basi atajiudhuru!

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akaingia gharama ya kuzunguka nchi nzima kutoa mafunzo, kukiimarisha na kutoa vyeti na viapo kwa wahitimu wa mafunzo.

Tukawaona vijana wengine waliohitimu mafunzo wakiwa wamevaa welding goggles kama vile wamehitimu kazi ya kuchomelea vyuma huku wengine wakiwa wamevaa Knee Pads kama wanakwenda kwenye jungle warfare.

Uchaguzi Mkuu ukafanyika, matokeo yakatoka ambapo CHADEMA ilipata wabunge 35 kwenye majimbo 162 ya uchaguzi. Nafasi ya Urais wa Tanzania ikaota mbawa.

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA akaitisha press conference, akalalamika kuwa ameibiwa kura zake wakati hiki kikundi kilipewa kazi ya kuzilinda kura zake.

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA akatangaza kuwa yeye ni mshindi wa kura za Urais lakini hiki kikundi hakikujitokeza kumsaidia kwenda kuidai Ikulu kama alivyoahidi Juma Duni Haji, Mgombea Mwenza wa Urais Tanzania pamoja na kwamba kimefudhu mafunzo ya kutumia nguvu badala ya akili.

CHADEMA imegharamia muda na rasilimali pesa nyingi kwenye hiki kikundi lakini hakijaleta faida yoyote.

Waliokianzisha hawakufahamu kuwa kura kwa sasa katika karne ya 21 zinalindwa kwa njia ya Information technology na sio nguvu za mwili(kufahamu karate).

Hiki kikundi kinatumia outdated mentality katika karne ya 21. Hakifai!

Huu ni wakati wa kukivunja kwa sababu hakina manufaa yoyote katika ukuaji wa CHADEMA.

Asiyesikia la mkuu...!

DSC_0037.JPG

Baadhi ya vijana wa Red Brigade wa CHADEMA wakiwa wanakula kiapo cha utii mbele ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe baada ya kuhitimu mafunzo yao ya ulinzi na karate.
mbowe_Red%2BBrigade.jpg

Lwakatare.jpg

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Rwakatare (kulia), akisoma taarifa ya mafunzo ya vijana wa chama hicho 'Red Brigade' huku mwenyekiti wa taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe (kushoto) ambapo Vijana hao walikula kiapo cha utumishi mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe.
Cdm mwaka huu lazima iwaweke kinyumba nyie magamba
 
Alafu hata aibu huna aibu unajiita MsemajiUkweli, pumbaf
 
Back
Top Bottom