Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,907
- 6,700
Wataalamu huyu wanamfanya nini?
Ili iweje?Anakaushwa
Unamaanisha jakuzzi?Body washing machine/Mashine ya kuogea
Kama ni kweli huenda zipo za aina nyingi iyo pichani kaivaa kama nguo lakini jakuzzi nayoijua Mimi mnaweza kuoga hata watu wawili kwa pamojaBody washing machine/Mashine ya kuogea
Hizo ni tofauti la kawaida lakini zinaendanaUnamaanisha jakuzzi?
.Kama ni kweli huenda zipo za aina nyingi iyo pichani kaivaa kama nguo lakini jakuzzi nayoijua Mimi mnaweza kuoga hata watu wawili kwa pamoja
Mnasemaga mi mbili mbele angalieni majibu ya walizonazo sasa..
Chakuongezea tu ili kudumisha Mila huyo yupo kwenye mashine ya kusajili line za simu..
Sauna ndo nini?Ni moja kati ya huduma zinazo patikana kwenye Sauna za kisasa....
Ni jungu la kujifukizaSauna ndo nini?
Tena line ya TigoMnasemaga mi mbili mbele angalieni majibu ya walizonazo sasa..🤣🤣🤣 👆👆
Chakuongezea tu ili kudumisha Mila huyo yupo kwenye mashine ya kusajili line za simu..😜