Hiki Cheti Kingemfaa Nani Humu JF...?

Hapo inabidi ujiajiri tu kuroga watu..
 
Kwani mpaka unapata cheti si unaweza ukaajiriwa pia mkuu. Au...?.
Du shirika gani linahitahi wachawi ndugu yangu? Labda huko Israel ukawasaidie kuiba mawingu ya mvua ya Iran😛
 
Du shirika gani linahitahi wachawi ndugu yangu? Labda huko Israel ukawasaidie kuiba mawingu ya mvua ya Iran😛

Sasa mpaka mtu unamuingiza cheti mkuu.
 
Kwa nini mkuu...?
Naona ndo elimu itakayoweza kumtoa kila aisomaye....kufanya mazingaumbwe na kutumia ungo fasta unafika Russia kuangalia game ikiisha unageuza fasta tz kwa ungo...kesho yake unaingia job kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…