Hamna ujinga kama ufuasi wa chama. Ukiwa mfuasi wa chama unaongozwa na ilani ya uchaguzi na si utashi wakoShida yetu tunafanyiwa mavitu mabaya kama vile staili ya popobawa lakini tunacheka tu. Mtu unapigwa popo then unatulizwa na pilau na kanga. Upuuzi mtupu.
Natamani kwenye katiba kungewekwa kipengele cha haki ya raha kwa kila raia.