Yenyewe kabisa, umetoka Mzee.. ukisia unaamka tajiri , unalala maskini ndio hii
Amka kafanye kazi mdogo wangu
Tena mtoroke babe, tukaishi Uswiss, tushakuwa matajiri 😅😅😅😅😅😅ngoja nimtukane mama mwenye nyumba
Hahaha 😂Aisee ini linauzwa mpaka million 50
Ila kama jiwe, unaweza ukaliuza kwa wale wanaosugua miguu wakitoka kuoga.
Aise!Mbona hiyo inajulikana Mkuu kila MTU anajua Mimi nimempa tahadhari Ru
Kijana asije akaanza kumeza njugu