Hii ya Zanzibar ni Ngoma za asili au tambiko?

Kanali_

JF-Expert Member
Nov 18, 2018
4,829
7,353
Nafatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Zenji (Tamasha la Kizimkazi) lakini kuna jambo limenipa wakati mgumu sana kulielewa. Baada ya Mheshimiwa Rais kuingia kuna kikundi kinachojiita Shomoo kimeingia na kuanza kutumbuiza lakini katika utumbuizaji wao ni kama walikuwa wanafanya tambiko mbele ya Rais wa nchi! Nataka kujua kiitifaki hii imekaaje!!??
JPEG_20210828_163127_6925670851929083851.jpg
JPEG_20210828_163209_4097029268053585763.jpg
JPEG_20210828_163226_3450083461771699202.jpg
 
Back
Top Bottom