Baada ya kutangaza kugombea uraisi wa nchi DRCongo, Kwa siku kama mbili au tatu ililipotiwa na vyombo kadhaa vya habari kuwa nyumba ya Moise ilikuwa ikizingirwa na wanajeshi, ilisemekana ni kwasababu ya kumiliki walinzi ambao si Wakongo, jana mambo yalimbadilikia baada ya kupandishwa mahakamani kwa kosa la kutaka kupindua nchi. Yale aliyofanyiwa Kiiza ndiyo yanayoelekea kumkuta Moise, viongozi wa Africa hawataki demokrasia kwenye utawala