Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Kuna shule za kiisilamu(Islamic school) lakini zinawalazimisha wanafunzi ambao sio waislamu kusoma somo la Dini ya kiislamu pia kuna shule za kikristo zinawalazimisha wanafunzi wasio wakristo kusoma Dini ya kikristo.
Je kuna mwongozo wowote wa NECTA unaotoa maelekezo kuhusu Masomo ya Dini?
Je kuna mwongozo wowote wa NECTA unaotoa maelekezo kuhusu Masomo ya Dini?