Hii ya Kenya Nimeipenda

Hii ya Kenya Nimeipenda

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,165
Hawa jamaa kwa kutoa taarifa wako vizuri. Nimekuta kwenye Citizen TV kuna kipindi cha serikali kutoa taarifa kwa umma kuhusu shughuli zilizofanywa na wizara mbalimbali.

Sasa hivi ni wizara inayosimamiwa na Mh. Najib Balala (nishati, usafirishaji na miundo mbinu - sina uhakika kama huko kwao wanaiita hivyo) ndo inafanya presentation.

Kipindi wanakiita "Government Self Appraisal" siyo hawa wa kwetu mpaka waitwe kwenye Dakika 45 ndo usikie majigambo yao. Wenzetu wako kikazi zaidi!!

HONGERA YAO UHURUTO.
 
Tanzaia hata wakifanya, yote watakayoyaongea ni uongo mtupu, hii nchi hii..... sometimes inatia kichefuchefu ila kwavile ni kwetu hatuna jinsi
 
Ni Wakenya wangapi wanaweza kuelewa hata maana ya Government Self Appraisal achilia mbali kuliandika hilo neno? Hawafiki hata Asilimia 5% sasa ina maana gani?
Hakuna tofauti yoyote hapo na CCM yetu, wote Vilaza tu!

Watu Masikini wa Nchi zetu wanataka Matendo na SIO Misamiati Migumu ya Kiingereza, ungekuja hapa ukaniambia Serikali ya Kenya imezalisha Ajira kadhaa, au Serikali ya Kenya imeondoa Njaa kwa Watu wake, au Serikali ya Kenya tangu imeingia Madarakani imepunguza umaskini kwa kiasi kadhaa, kinyume na hapo ni blah blah tu...

Yaani jamaa ukiwaona walivyopiga parade, utafikri wako jeshini. Hawa wa kwetu wangekuwa wameshaomba viti ili wakae, hivi unategemea mtu kama Wassira atasimama zaidi ya saa 2? Bila kuwatoa hawa wakoloni weusi hatutasonga mbele!! Sasa hivi Mh. Balala amekaribisha maswali!!
 
Ni wakenya hawa waliojiongezea majukumu ya serikali na sasa wanashidwa kuwalipa wanataka kupunguza mishahara ya wakubwa kwa %20?
 
Hawa jamaa kwa kutoa taarifa wako vizuri. Nimekuta kwenye Citizen TV kuna kipindi cha serikali kutoa taarifa kwa umma kuhusu shughuli zilizofanywa na wizara mbalimbali.

Sasa hivi ni wizara inayosimamiwa na Mh. Najib Balala (nishati, usafirishaji na miundo mbinu - sina uhakika kama huko kwao wanaiita hivyo) ndo inafanya presentation.

Kipindi wanakiita "Government Self Appraisal" siyo hawa wa kwetu mpaka waitwe kwenye Dakika 45 ndo usikie majigambo yao. Wenzetu wako kikazi zaidi!!

HONGERA YAO UHURUTO.
Serikali ya familia, chama cha ukoo, unategemea nini?? Mradi liende.
 
Ni Wakenya wangapi wanaweza kuelewa hata maana ya Government Self Appraisal achilia mbali kuliandika hilo neno? Hawafiki hata Asilimia 5% sasa ina maana gani?
Hakuna tofauti yoyote hapo na CCM yetu, wote Vilaza tu!

Watu Masikini wa Nchi zetu wanataka Matendo na SIO Misamiati Migumu ya Kiingereza, ungekuja hapa ukaniambia Serikali ya Kenya imezalisha Ajira kadhaa, au Serikali ya Kenya imeondoa Njaa kwa Watu wake, au Serikali ya Kenya tangu imeingia Madarakani imepunguza umaskini kwa kiasi kadhaa, kinyume na hapo ni blah blah tu...

Bla bla ya Kenya haiwezi kulingana na hizi ngonjera za hapa kwetu!!! Kama kuna wakenya wasioelewa hiyo makitu itakuwa na kazi ya media sasa kwenda kuyaweka kwenye lugha rahisi ili watu wengi waelewe, ndo maana wanaongea na media ili zikafikishe ujumbe kwa raia. CCM na nyie mnaoishabikia ndio mliotufikisha hapa tulipo. Wewe unafahamu madini yamechangia kiasi gani katika uchumi wa nchi yetu? Wenzetu wametoa taarifa kwa raia!!!
 
Haunielewi, ninachosema ni kwamba huo wote ni Usanii wa Wanasiasa, na Usanii unatofautiana kulingana na Jamii husika, Usanii wa Wanasiasa wa Kenya kwa Wananchi wao ni tofauti wa Wanasiasa wa TZ kwetu, lkn mwisho wa Siku woote ni Wasanii.

s
asa wanasoma hiyo ripoti halafu? Kesho wanaondoka Serikali nzima kwenda retreat wiki mbili na kupandishana Mishahara... wewe nafikiri Kenya haupajui vizuri, hivyo vyote ni viini macho...Mimi nilikuwa huko na nimekaa kwa muda na amini ninavyokwambia Serikali ya Kenya ni Wanyama kwa Wananchi wao kuliko CCM, mimi nimeshuhudia Watoto wanakufa njaa Turkana lkn Serikali (Kenya) wana airlift Punda na wanyama wengine kwenda kulisha Simba Tsavo...

Na hivi sasa unafahamu kwamba kuna watu wanakufa njaa Kenya? Sasa hiyo ripoti mbona haiwapelekei Chakula?
Wazungu ndio wanawaangushia Mahindi kwa Ndege, sasa kama wao wangekuwa wanajali kama unavyodhani Njaa ingepaswa iwe Kipaumbele namba 1 na SI vinginevyo...
 
Hapa kwetu rais tu mwenyewe hajui kwa nini ni rais na sidhani hata kama anajua majukumu yake zaidi ya
kusafiri nje ya nchi,sembuse hwa mawaziri wake maboga matupu. Kenyatta yuko seriuos kweli kuibadilisha
Kenya,so hakuna waziri ataleta upuuzi,ukizingatia wameomba kazi kama ajira'
 
Haunielewi, ninachosema ni kwamba huo wote ni Usanii wa Wanasiasa, na Usanii unatofautiana kulingana na Jamii husika, Usanii wa Wanasiasa wa Kenya kwa Wananchi wao ni tofauti wa Wanasiasa wa TZ kwetu, lkn mwisho wa Siku woote ni Wasanii.

s
asa wanasoma hiyo ripoti halafu? Kesho wanaondoka Serikali nzima kwenda retreat wiki mbili na kupandishana Mishahara... wewe nafikiri Kenya haupajui vizuri, hivyo vyote ni viini macho...Mimi nilikuwa huko na nimekaa kwa muda na amini ninavyokwambia Serikali ya Kenya ni Wanyama kwa Wananchi wao kuliko CCM, mimi nimeshuhudia Watoto wanakufa njaa Turkana lkn Serikali (Kenya) wana airlift Punda na wanyama wengine kwenda kulisha Simba Tsavo...

Na hivi sasa unafahamu kwamba kuna watu wanakufa njaa Kenya? Sasa hiyo ripoti mbona haiwapelekei Chakula?
Wazungu ndio wanawaangushia Mahindi kwa Ndege, sasa kama wao wangekuwa wanajali kama unavyodhani Njaa ingepaswa iwe Kipaumbele namba 1 na SI vinginevyo...

Kubishana na Vijakazi vya CCM huwa siwezi!!!!
 
bla bla bla yako kaka na chuki hazitafanya kenya miradi isimame.that may be the case but muhimu ni kama we are doing anything to change the status quo.boy unachuki za binafsi kaka

You are here: Home
[h=1]Kenya launches one of largest projects to boost food security[/h]
t_15.gif
8 Comment(s)
t_16.gif
Print
t_17.gif
E-mail Xinhua, January 10, 2014 Adjust font size:
t_18.gif
t_19.gif

Kenya on Thursday launched one of the largest irrigation project aimed at boosting food security in the East African country.
The Galana-Kulalu Food Project located in the Coast region will have substantial area under irrigation as a strategy and entry point for integrated farming for crop, livestock and fish production for local consumption and export.
Firms are expected to build access roads to their allotted land, as well as water delivery systems that will be fed by the government-constructed storage reservoir.
Speaking during the launch of the project in Malindi, President Uhuru Kenyatta said the project will not only ensure national food security but also create wealth and employment opportunities.
"With this program, we aim to produce enough food crops, livestock and fish to feed our people while generating revenue and employment. We are here to address challenges of food security with associated high cost of living, rising food driven inflation, poverty and growing social and political instability," he said.
"It is part of our plan to irrigate one million acres of land in the next five years," Kenyatta said when he kicked off the Jubilee Coalition's landmark irrigation project by commissioning a 10,000 acre Galana-Kulalu model farm.
The government had allocated 42 million U.S. dollars to the first phase of the project in the 2013/14 financial year with the bulk of investments coming from the private sector.
The project has been expanded and accelerated in order to meet campaign promises made by the jubilee government to bring one million acres of land under irrigation.
Initially, under the Vision 2030 development blueprint, Kenya was to put 80,000 acres of land under irrigation each year. This plan would have seen Kenya hit the one million acre threshold in 12.5 years.
"We will also ensure increased efficiency in agricultural production by use of mechanization and modern technologies in farming while enhancing the use of right farm inputs for increased production of maize, sugar cane and horticultural crops among other enterprises," Kenyatta said.
The National Irrigation Board said once completed the project would see 500,000 acres of land put to maize production, 200,000 acres to sugar cane, 150,000 acres to beef and game animals, 50, 000 acres to horticulture, 50,000 acres to dairy animals while a further 50,000 acres will be dedicated to growing fruits such as mangoes and guavas.
The East African nation has an annual sugar deficit of 340,000 tonnes which is imported from the Common Market for Eastern and Southern Africa states.
The country's millers attribute the shortage to decreasing cane supply in the face of competition for the commodity by crushers.
Kenyatta said the model farm will reveal the potential investment opportunities that exist in the region. He also launched Consultancy Services whose output will deliver investment opportunities in the flagship project.
The president said the irrigation project will ensure food security for all Kenyans and encouraged public-private partnerships in its implementation.
"For us to meaningfully develop, we must implement programs that will ensure food security for all our people in line with our Constitution," the President said.
He said when people have sufficient food and are busy producing it, there will be no idleness and security and social problems will be reduced.
He said the project will address challenges of food security with associated high cost of living, rising food driven inflation, poverty and growing social and political instability.
"My government will create favorable conditions for private sector participation in this project and will provide required resources to ensure provision of key infrastructure," Kenyatta said.
"We will utilize our well-trained manpower in engineering, agriculture, livestock, fisheries and research to exploit the opportunities created by this project in modern integrated irrigated agriculture and adoption of the latest irrigation technologies. This place will also serve as a practical training center of excellence for our young professionals," he said.
Saying 2014 is the year that the Jubilee manifesto comes alive, he said many of the projects launched last year will take off in earnest.
"Projects like LAPPSET [Lamu Port Southern Sudan-Ethiopia Transport], the Standard Gauge Railway Line, the Green Field Airport Terminal, and our energy projects that target 5,000 megawatts of electricity in the next 36 months, mean that we have chosen a path of transformation, which we intend to stay," Kenyatta said.
The president said the irrigation project will be implemented strategically to take advantage of the LAPSSET road and rail networks, airports and the proximity to the sea.
"All these will ensure efficient movement of produce to markets. The program will further spur growth of associated industries creating jobs and wealth," the President said.
Tailor-made capacity building will be carried out in the local communities to ensure that new technologies are put to use to control livestock diseases such as tsetse and trypanosomiasis, the President said.
Agriculture Cabinet Secretary Felix Koskei said this will be possible if the Galana-Kulalu food security project irrigation scheme is complete and successful.
"The Galana-Kulalu food program in Tana River and Kilifi counties is a flagship for Kenya to ensure there is enough food in the country. It will integrate various food and cash crops. It will also cater for livestock, fresh produce and fisheries," he said.
The five-year project will double the production of maize and Kenya will then be able to have enough and even export maize.
"This is an effort to address challenges of food security with associated high cost of living, rising food-driven inflation, poverty and growing social and political instability," he said.
Koskei said currently the food situation in Kenya is good with 13.3 million bags of maize in store with the projection of another 32 million bags from the harvest of the two rainy seasons.
DRIVES-TRACTOR1.jpg

Uhuru assures on irrigation project implementation | Capital News​

[url]www.capitalfm.co.ke​
[/URL]630 × 350Search by image
President Kenyatta expressed confidence that the irrigation project will ensure food security for all Kenyans and encouraged public-private partnerships in ...

among the efforts........

1521925_199811443554035_1829151015_n.jpg
 
Hawa jamaa kwa kutoa taarifa wako vizuri. Nimekuta kwenye Citizen TV kuna kipindi cha serikali kutoa taarifa kwa umma kuhusu shughuli zilizofanywa na wizara mbalimbali.

Sasa hivi ni wizara inayosimamiwa na Mh. Najib Balala (nishati, usafirishaji na miundo mbinu - sina uhakika kama huko kwao wanaiita hivyo) ndo inafanya presentation.

Kipindi wanakiita "Government Self Appraisal" siyo hawa wa kwetu mpaka waitwe kwenye Dakika 45 ndo usikie majigambo yao. Wenzetu wako kikazi zaidi!!

HONGERA YAO UHURUTO.

Bwana mdogo...............hamna mtu duniani ukimpa nafasi ya kufanya ''self appraisal'' halafu akakiri udhaifu...........hizo ni siasa ambazo nawewe umeingizwa mkenge au ni mchanga kwenye haya mambo ya siasa,kenya sio mfano mzuri kwa serikali zenye kuwajibika.........!
 
kwa hao wakenya wanamaendeleo gani? mbona tunawaona huku kwetu wakija kuomba ajira? kwa nini wasikae huko kwao kama mambo ni mazuri? umeshawahi kumuona msaudia arabia au mmerekani akija bongo kuomba ajira? poor analysis.
 
Na kura yetu ya SIRI-WAZI!!!
Kwa siku arobaini na kazi yenyewe ni siku 70 au 90 only in TZ.
Ukweli wenzetu wametuzidi kwa mambo mengi kiuchumi na kisiasa tukiacha ushabiki.
 
bla bla bla yako kaka na chuki hazitafanya kenya miradi isimame.that may be the case but muhimu ni kama we are doing anything to change the status quo.boy unachuki za binafsi kaka

You are here: Home
Kenya launches one of largest projects to boost food security

t_15.gif
8 Comment(s)
t_16.gif
Print
t_17.gif
E-mail Xinhua, January 10, 2014 Adjust font size:
t_18.gif
t_19.gif

Kenya on Thursday launched one of the largest irrigation project aimed at boosting food security in the East African country.
The Galana-Kulalu Food Project located in the Coast region will have substantial area under irrigation as a strategy and entry point for integrated farming for crop, livestock and fish production for local consumption and export.
Firms are expected to build access roads to their allotted land, as well as water delivery systems that will be fed by the government-constructed storage reservoir.
Speaking during the launch of the project in Malindi, President Uhuru Kenyatta said the project will not only ensure national food security but also create wealth and employment opportunities.
"With this program, we aim to produce enough food crops, livestock and fish to feed our people while generating revenue and employment. We are here to address challenges of food security with associated high cost of living, rising food driven inflation, poverty and growing social and political instability," he said.
"It is part of our plan to irrigate one million acres of land in the next five years," Kenyatta said when he kicked off the Jubilee Coalition's landmark irrigation project by commissioning a 10,000 acre Galana-Kulalu model farm.
The government had allocated 42 million U.S. dollars to the first phase of the project in the 2013/14 financial year with the bulk of investments coming from the private sector.
The project has been expanded and accelerated in order to meet campaign promises made by the jubilee government to bring one million acres of land under irrigation.
Initially, under the Vision 2030 development blueprint, Kenya was to put 80,000 acres of land under irrigation each year. This plan would have seen Kenya hit the one million acre threshold in 12.5 years.
"We will also ensure increased efficiency in agricultural production by use of mechanization and modern technologies in farming while enhancing the use of right farm inputs for increased production of maize, sugar cane and horticultural crops among other enterprises," Kenyatta said.
The National Irrigation Board said once completed the project would see 500,000 acres of land put to maize production, 200,000 acres to sugar cane, 150,000 acres to beef and game animals, 50, 000 acres to horticulture, 50,000 acres to dairy animals while a further 50,000 acres will be dedicated to growing fruits such as mangoes and guavas.
The East African nation has an annual sugar deficit of 340,000 tonnes which is imported from the Common Market for Eastern and Southern Africa states.
The country's millers attribute the shortage to decreasing cane supply in the face of competition for the commodity by crushers.
Kenyatta said the model farm will reveal the potential investment opportunities that exist in the region. He also launched Consultancy Services whose output will deliver investment opportunities in the flagship project.
The president said the irrigation project will ensure food security for all Kenyans and encouraged public-private partnerships in its implementation.
"For us to meaningfully develop, we must implement programs that will ensure food security for all our people in line with our Constitution," the President said.
He said when people have sufficient food and are busy producing it, there will be no idleness and security and social problems will be reduced.
He said the project will address challenges of food security with associated high cost of living, rising food driven inflation, poverty and growing social and political instability.
"My government will create favorable conditions for private sector participation in this project and will provide required resources to ensure provision of key infrastructure," Kenyatta said.
"We will utilize our well-trained manpower in engineering, agriculture, livestock, fisheries and research to exploit the opportunities created by this project in modern integrated irrigated agriculture and adoption of the latest irrigation technologies. This place will also serve as a practical training center of excellence for our young professionals," he said.
Saying 2014 is the year that the Jubilee manifesto comes alive, he said many of the projects launched last year will take off in earnest.
"Projects like LAPPSET [Lamu Port Southern Sudan-Ethiopia Transport], the Standard Gauge Railway Line, the Green Field Airport Terminal, and our energy projects that target 5,000 megawatts of electricity in the next 36 months, mean that we have chosen a path of transformation, which we intend to stay," Kenyatta said.
The president said the irrigation project will be implemented strategically to take advantage of the LAPSSET road and rail networks, airports and the proximity to the sea.
"All these will ensure efficient movement of produce to markets. The program will further spur growth of associated industries creating jobs and wealth," the President said.
Tailor-made capacity building will be carried out in the local communities to ensure that new technologies are put to use to control livestock diseases such as tsetse and trypanosomiasis, the President said.
Agriculture Cabinet Secretary Felix Koskei said this will be possible if the Galana-Kulalu food security project irrigation scheme is complete and successful.
"The Galana-Kulalu food program in Tana River and Kilifi counties is a flagship for Kenya to ensure there is enough food in the country. It will integrate various food and cash crops. It will also cater for livestock, fresh produce and fisheries," he said.
The five-year project will double the production of maize and Kenya will then be able to have enough and even export maize.
"This is an effort to address challenges of food security with associated high cost of living, rising food-driven inflation, poverty and growing social and political instability," he said.
Koskei said currently the food situation in Kenya is good with 13.3 million bags of maize in store with the projection of another 32 million bags from the harvest of the two rainy seasons.
DRIVES-TRACTOR1.jpg

Uhuru assures on irrigation project implementation | Capital News​

630 × 350Search by image
President Kenyatta expressed confidence that the irrigation project will ensure food security for all Kenyans and encouraged public-private partnerships in ...

among the efforts........

1521925_199811443554035_1829151015_n.jpg

Sina Chuki Binafsi! Nimeipenda na kuvutiwa na hiyo habari Njema Kabisa! Kama wameanza kushughulikia swala la Njaa kwanza, basi wamechagua nzuri.... Kila La Heri!
 
KIJAKAZI WA 2 hivi unaweza kulinganisha umbumbu wa shule za kata na wenzetu KENYA?
TAFADHARI WAOMBE RADHI WAKENYA.
wale wako makini na elimu ,kenya kwenye elimu hakuna cha ODM wala TNA ni umakini wa hali ya juu kwenye elimu
huku angalia matokeo ya kidato cha 5 ndio utajua kuwa JK hii nchi aipendi na wala hana time nayo
ilimradi ridhiwani na salama wamesha soma hana shida
 
Back
Top Bottom