Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
Hans anashughulika na nini? Yeye ndio mwenyekiti wa kamati ya usajili wa Simba hata Mrisho Ngasa yeye ndio alitoa hela kumsanisha
Soka kumbe linalipa, ngoja na mimi nianze kujifua labda nitasajiliwa hata na Mbanga FC.Kasaini Simba bwana 2yrs contract tena kwa 35Mil,,baada ya kubembelezwa sana Kiemba alikua anataka 38Mil...
Na mshahara wa 2Mil per month..!
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
Hahaha!!!Talent unayoo??Jaribu siasa mkuu..kimtindo inalipa zaidi ya soka la bongoSoka kumbe linalipa, ngoja na mimi nianze kujifua labda nitasajiliwa hata na Mbanga FC.
Habari ni za kweli kaka? Source? Maana hawa yanga wanausumbufu sana kwenye usajili aisee!Kasaini Simba bwana 2yrs contract tena kwa 35Mil,,baada ya kubembelezwa sana Kiemba alikua anataka 38Mil...
Na mshahara wa 2Mil per month..!
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
utakua Yanga wewe........mifano yao mingi ni kwa wanawake
waone Seleman Matola na Amri Said pale Msimbazi wakupe ma-technique mwisho unaweza ukaja ukatuokoa kwani ninavyokujua mara baada ya kupata training ya kutosha unaweza kumudu nafasi kama tatu uwanjani(Beki wa kati, Kiungo Mchezeshaji, na Mshambuliaji wa kati).Soka kumbe linalipa, ngoja na mimi nianze kujifua labda nitasajiliwa hata na Mbanga FC.
Kasaini Simba bwana 2yrs contract tena kwa 35Mil,,baada ya kubembelezwa sana Kiemba alikua anataka 38Mil...
Na mshahara wa 2Mil per month..!
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
Mnapesa hiyo ya kumlipa? Au mmemkopa? Kocha Lewig anawadai mil.17 mpaka kesho hamjampa alafu Kiemba mmpe 35m?
Tatizo unaweza kuwa na akili ya mpira ila mwili sasa hautaki, inakuwa hakuna synchronization kati ya akili na miguu.waone Seleman Matola na Amri Said pale Msimbazi wakupe ma-technique mwisho unaweza ukaja ukatuokoa kwani ninavyokujua mara baada ya kupata training ya kutosha unaweza kumudu nafasi kama tatu uwanjani(Beki wa kati, Kiungo Mchezeshaji, na Mshambuliaji wa kati).
Kaseja nasikia anaelekea Azam. Anyway yote Heri!, inawezekana labda Simba tumeamua kufuata nyayo za Wenger za kufufua vipaji: ila sijui kama hii inakaa vizuri kwa soka letu la kibongo.
Hahaha!!!Talent unayoo??Jaribu siasa mkuu..kimtindo inalipa zaidi ya soka la bongo
Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
TIQO mimi ni YANGA AFRIKA damuMnapesa hiyo ya kumlipa? Au mmemkopa? Kocha Lewig anawadai mil.17 mpaka kesho hamjampa alafu Kiemba mmpe 35m?
Amini asilimia 100 ,,Na source ni mimi mwenyewe,,,,,Ila kwa kweli sisi YANGA tumezidi kumuonea MnyamaHabari ni za kweli kaka? Source? Maana hawa yanga wanausumbufu sana kwenye usajili aisee!