Hii wrong number ishakuwa kero sasa!


njoo PM nikuonyeshe namna ya kui-bun wasumbufu kama hao...
wakati huu mchakato unaendelea akipiga pokea weka kwenye sim kwenye spika ya sub ufaa fungulia soung mpaka pomon
 
The number your trying to call is busy please try again later..
 
Heri mimi sijasemwa! Ila Zinduna hiyo kauli ya kudharau watu wa bara ifute fasta kabla hasira zangu hazijaja damn!!

Nasapoti hoja, haiwezekani watu wa bara wapewe dongo nikae kimya, aah! Aah!
Halafu Zinduna mama naomba tu umsamehe mkongoman wetu Chimbuvu toka apatae misukosuko kwenye ndoa yake amekua na stress mno, ndio maana anakusumbua hivi. Nitaongea nae hatakusumbua tena. Lol!!
 
Last edited by a moderator:

Mie nihangaike nawewe kwenye kiselula? Ya kazi gani, si napanda tu boti nakuja najipakulia mzigo kama last month nasepa zangu, anaehangaika hivyo atakuwa Nicas Mtei maana naskia anataka kuuaga ukapera
 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika mume wangu Filipo hahusiki kabisa!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Zinduna mbn unanisikizia bhana..mie nikupigie ya nini..?wakati naweza kuja kwenu msasani mwisho
 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika mume wangu Filipo hahusiki kabisa!!!!!

Ndio maana makupenda Mke wangu! Sio tu unanipenda, bali unaniamini pia!!!! Huyu Zinduna atakuwa ananipendapenda hivi! Si unamwona anavyokatika katika!!?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…