Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,673
Kuna hii website ya mkito.com ambayo sasa kila nyimbo iktoka ya kibongo unaikuta kule .. Nimeona kuna ubunifu mkubwa wa kutengeneza pesa. Hivi ni ya nani anaimiliki?
wrong...Vodacom