Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,588
- 28,755
Aina neno tuko pamoja na tutaendelea kuitembelea every daydah.. Nitaongeza hilo mdau... Ahsante kwa wazo
Tafadhali tembelea www.rahaforums.tk kwa njia yoyote iwe mobile au computer. Kisha unipe mtazamo wako. Nimpya na yawezekana inamakosa. So utakuwa umenisaidia
chief Mkwawa, tangu jana mpaka leo hakuna email niliyopata toka dot.tk na nimewatafuta kwa mbinu nyingi lakini wapo kimyaa
Pitia hii thread mwisho wa thread kuna free domains jaribu kama bado una mpango wa free domain
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...-tovuti-bure-ya-kiofisi-acha-kulipia-leo.html
chief-mkwawa ana point
Na nawezaje kupata screen shot kwa mozilla (Nipe pindi hapo)?
hadi hapa unaonesha ulivyo shallow, ka hii hujui, web designing utafanya kweli? Soma sana kaka, usitengeneze sa hivi bado hujawa.... Kuhusu hilo swali bonyeza button kwenye ketboard yaho imeandikwa Print Screen.... hapo tyr umechukua screenshot ya page, paste unapotaka...
chief mkwawa. Mi naona ni bora nihamie kwenye paid domain. Godaddy wanatoa .info kwa 2.7$ Ila kama nikipata mmbongo atayenipa kwa bei yenye uwiano nitanunua
nimejaribu co.tv ila naona inazingua. Link haiko sawa
Iyo website ikoje bob? Nimefungua naona kameandikwa kuwa kipo suspended kutokana na abuse?
Hivi unajua maana ya page rank?
Sasa kama website ndani ya miezi mi 3 haijafikisha user 25 how come iwe na pagerank zaidi ya 0? Ok kama mimi nasema uongo naomba upload screenshot yako inayoonyesha hio page rank yako ambayo .tk wamekuibia
Au kwa kuelewa zaidi visit hapa
.::real WAP::.
Sikia chief, namtetea don, hii site yake ilikua ni test tu ya project yake na ndio maana akawauliza mnaionaje ili kama mkimpa moyo kwamba ni nzuri au afanye marekebisho gani ndio aipandishe rasmi. hii swala la kutengeneza demo kila mtu anafanya kabla ya kuingia gharama za kununua hosting,script na domain. na mara nyingi demo sites hua hazitembelewi mara kwa mara just mtu akiiangalia mara moja hua haitembei tena. thats why hakuweza kufikisha watu 25 a month. msiwe mnakurupuka kuwakatisha watu tamaa na nyie hamna chochote mlichowahi kujaribu kufanya. BIIIG UP DOONN