Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,544
- 1,760
Picha 1
mkurugenzi wa assas alisema kama vipi mama (Mh. Samia Suluhu) awe anaongea kila siku kabla ya kwenda kazi, huyu jamaa (mKigoma) kamjibu mkuregenzi kwa kumkumbushia enzi za JPM kuwa “huyu ni wewe” ? alivyo kuwa ana msifia.
Picha ya 2
mkurugenzi ka mind kaenda kufukunyua sms za jamaa alimtumia miaka 2 akimuomba kazi ya kutangaza bidhaa za assas, sasa wadau wa Twitter wamemjia juu mkurugenzi kwa nini katoa sms na namba ya simu ya jamaa hadharani.
Picha ya 3
kule Twitter kuna kampeni ya kukataa maziwa ya assas na kutangaza ya Tanga fresh.
Bosi Kajibu
Kilichofuata sasa ni boycott ya ASSAS products na kuipa kiki tanga fresh