Acheni dezoJamaa angu kanitumia ujumbe na link kuwa ni bofye kuna kutumiana hela hadi kiwango cha 3,464,000
Hiyo link uki bofya inakupeleka hadi whatsapp
Anayejua undani wa hii kitu atujuze
😂Ndio yale mambo account za FB tunaona zinapost "pono" ?Ni matapeli ukifungua kupitia Facebook wanakutumia namba ya msimbo kupitia simu yako, ukiingiza wao ndio wanakuwa na access ya akaunti yako, hata hiyo Msg hajakutumia jamaa yako, wapi hapo Kenya River achana nao
😂mkuu hivi binadamu wote tukifa si mdomo unakuwa wazi. Kwanini unamtisha hivo mzee wa UNHCRAcheni dezo
Mtakufa midomo wazi