Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,942
- 12,505
Kama ni voda unawasingizia. Japo huwa wana huo ujinga mara mojamoja lakini mimi nafurahia huduma zao nzuri kwa bei ya juuNilikuwa huko ukinunua 1Gb unaperuzi Kama webpage tatu na kutuma email mbili unaambiwa kifurushi kimeisha nikaachana nao

1GB nadownload movies 2 zenye 400MB @ na bado naperuzi jf na whatsap kwa muda wa kutosha