Hii Unaionaje?

Kwani vp mbona unashangaza kwa kushangaa vicvyoshangaza?
 
Huyo dada wa tatu toka kulia ambaye ameyapakata hayo mananii ya bwana harusi mbona ngoko zake zimechomoza nje ya gauni lake?
 
Huyo wa nne toka kila upande mkono wake umeegemea sehemu mbaya kweli!
 
Huyo dada wa tatu toka kulia ambaye ameyapakata hayo mananii ya bwana harusi mbona ngoko zake zimechomoza nje ya gauni lake?

Hapo wamegawana miguu mkuu kila gauni au sketi ina mpasuko mmoja
 
Kuna watu wanakodi madem eti wapigenao picha!! Pumbavu
 
angalieni kwa jicho la tatu hii picha
 
Majitu mengine bwanaa! Agrrr. Si waende wakamtoe nguo basi?? Nijilalie mapaja ya watu huku ni mmoja tu napewa. Ya nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ