Hii TUCTA au kamati ya mapambio??

Tucta bure kabisa, Yani leo ndio nimeona hawa wanatakiwa wapewe ofisi Pale lumumba tu mana, Hawajui hata wanatakiwa wasimamie wapi
 
Jmn hamna haja ya kutumia nguvu nyingi pasipo sababu. Kila angle ambayo inamuhusu mwananchi walishaweka watu wao so ni wao wanajipamba wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…