Wadau wa Man U msihofu, kama Sir Ferguson alijenga timu kwa miaka 6 na akaacha utukufu kwa miaka 25, Moyes hata mwaka haujatimia.
Tuwashauri hawa wenzetu wanaowania Ubingwa safari hii, wajitahidi angalau wapokezane kikombe kwa miaka hii miwili ambayo Moyes anajenga timu kubwa duniani, maana tukianza vitu vyetu itabidi wasubiri tena Miaka 25 ijayo. LIVERPOOL wanalielewa hilo ndiyo maana mwaka huu wamekomaa.