Hii TECNO N9 ni Vipi?

Hii TECNO N9 ni Vipi?

...hawa tecno wako vizuri,nokia kama haitajipanga vizuri uenda akapotea kabisa...
 
duh trust me mnaibiwa wachina hawana bei hizo

n3 na p3 sawa ila n7, phantom na hii tablet bei ni kubwa sana

n7 inauzwa laki 3 wakati huawei ascend y300 ni 195,000 na zote zina specs sawa.

phantom ile ya inch 5 ni 450,000 hadi 550,000 wakati kuna clone ya s4 unapata hadi 270,000 yenye specs kubwa zaidi.

hii tablet nayo 550,000 wakati galaxy tab ni sawa na hio au unapata bei rahisi zaidi ya hio. ipad mkononi unapata bei hio

kwa 100% nakukubali mkuu
 
duh trust me mnaibiwa
wachina hawana bei hizo

n3 na p3 sawa ila n7, phantom na hii tablet bei ni kubwa sana

n7 inauzwa laki 3 wakati huawei ascend y300 ni 195,000 na zote zina
specs sawa.

phantom ile ya inch 5 ni 450,000 hadi 550,000 wakati kuna clone ya s4
unapata hadi 270,000 yenye specs kubwa zaidi.

hii tablet nayo 550,000 wakati galaxy tab ni sawa na hio au unapata bei
rahisi zaidi ya hio. ipad mkononi unapata bei hio

KUULIZA SIO UJINGA; Naomba kufahamu maana ya CLONE maana mahisi kama nimeelewa tofauti na kinachomaanishwa?
 
KUULIZA SIO UJINGA; Naomba kufahamu maana ya CLONE maana mahisi kama nimeelewa tofauti na kinachomaanishwa?

clone ni kuiga kitu kama kilivyo. kwenye simu huwa makampuni ya kichina wanaiga kampuni kubwa kama samsung na apple kwa kutengeneza simu ambazo kwa macho unaweza kudhani zimetengenezwa na samsung kumbe sio.

mfano hii ni clone ya dola 230 ya galaxy s4
8872_P_1371540416978.jpg
 
Sawa nimekuelewa, kifupi tunaita copy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom