N Noti bandia JF-Expert Member May 3, 2020 2,252 3,590 Mar 29, 2024 #41 Kuna namna fulani ni ajenda ya Siri kumfanya mh Dkt kusikika mara Kwa mara mioyoni mwa watu ili apendeke sasa. Lakini pia watu wanapalilia ugali wao
Kuna namna fulani ni ajenda ya Siri kumfanya mh Dkt kusikika mara Kwa mara mioyoni mwa watu ili apendeke sasa. Lakini pia watu wanapalilia ugali wao
Nyaubikra JF-Expert Member Sep 21, 2019 1,102 2,684 Mar 29, 2024 #42 Kwanza kabisa nampongeza raisi wetu Mama samia kuweka mifumi mizuri ya TEHAMA.Maana haikuwa rahisi leo GENTAMYCINE ana tuma uzi wake humu jf kwa amani kbsa..............
Kwanza kabisa nampongeza raisi wetu Mama samia kuweka mifumi mizuri ya TEHAMA.Maana haikuwa rahisi leo GENTAMYCINE ana tuma uzi wake humu jf kwa amani kbsa..............