totoadela
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 359
- 1,084
Hello ndugu zanguni
Jamani nyie upande wa pili Kaka zetu inakuwaje kuwaje unamuuliza mwanamke ambae sio mtu mpenzio kila siku iwe asubuhi, mchana au jioni (usiku)mtu anakuuliza umekula nini As if amekupa hela ya kula ebooh hasa nyie jinsia ya kiume. Aiseeh mnaboa kinoma
Yaani inaweza kuingia meseji unadhani labda muamala kumbe umtu anakuuliza Umekula nini unajitahidi kupotezea story nyingine bado amekomaa na ishu ya umekula nini.
Eti jinsia Ke wenzangu hii tabia mnaionaje au nyie mnaifurahia! Hii ni kero kubwa sana kama haujamtumia hela ya msosi tafadhali usijaribu kuuliza habari hizo eboo..
Swt Manka nimekaa hapa nasubiria wale wenye mapovu yao yao