mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 406
mkuu umenikumbusha mbali sana!
tukiwa wadogo na njaa ya shule basi unapakuwa kumkomoa mwingine!
basi mamangu akikwambia punguza ukagoma! anakuuliza mara tatu utamaliza ukimwambia ndiyo mara zote na akakubembeleza upunguze
ukakataa! ndugu hicho chakula utamaliza hata ikibid kwa viboko!
akikuona umeshiba na hujamaliza anakuita ukae karibu yake!
basi tulikuwa tunamaliza huku tunalia! coz umeshiba ila ndo lazima umalize
Hahaha mkuu tumekulia nyumba moja nin yaan kichapo utakachochezea utajutaaa