everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Mmmh! wote tupakuliwe nouma.
Mi nahisi wakupakua apakue apendavyo ila asiache kumzingatia mpakuliwaji! Uroho si mzuri eti. lol!
Hapana mkuu sijamaanisha hivyo umenielewa vibaya nimesema kwamba labda mtu kapakuliwa anaweza kusingizia kwamba amewekewa kingi kuliko uwezo wake, sasa unakuta mtu kajipakulia mwenyewe halafu anaacha anasema kashiba maana yake ndo nini sasa kwani hajui size yake?
Hata unapompakulia mtu ni vizuri anayepakuliwa kusema kiwango kinachomfaa.