HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,205
Hahahahahah
mkuu hatar sana!
halafu ukute siku ni zamu yako kuosha vyombo baada ya huo mlo! lazima uombe pooo
Hahahahahah
mkuu hatar sana!
halafu ukute siku ni zamu yako kuosha vyombo baada ya huo mlo! lazima uombe pooo
hahahahahaha lol!!! atakustukia tu unamsema yeye, mtu wa karibu kumpakia wala si shida lakini ambaye hujamzoea kiasi hicho inataka uso wa dagaa lol! hata ukiutia pilipili hata kukapua macho hakapui 🙂🙂
hahahaha! Mimi niwe kwenye mudi yangu nzuri na imenikera kumoyo nampa live kwakweli,nikitulia ujue haijanikera au nimekerwa lakini niko na mudi mbaya,nikiwa na mood mbaya huwa sipendi kuongea kabisa hata mtu anikosee vipi ntamwangalia tu, Halafu BAK mi nashindwa kuelewa hivi kuna tatizo gani na kitu chakula? Unajua chakula ndiyo source ya magomvi mengi sana kwenye nyumba? Kikiwa kidogo ni shida kikiwa kingi ni shida.
Ha ha ha waogopa kupakuliwa,unaogopa hutashiba?,muoga kweli!,Kama Mimi ndo mpakuaji loo ningekujazia sahani Tele ujilie mkuu.
Always napenda kupakua.
Kiswahili kinamatata sana!
Hapana mkuu hujaelewa hapa namaanisha MTU kupakua kulingana na uwezo wake wa kula sio anapakua kwa ulafi
Hahaha hapa situnaongelea mada ya chakula ila mmnh japo kiswahili kipana sanaa
jaza mpaka kilemba ila usile haraka haraka
SIPENDI MTU ANAEKULA HAraka haraka uku akimwaga mwaga na kuhema kama anakimbizwa sipendi jamani
ukila hivyo naachaa nakuachia umalize chote tabia hiiii hunikera sana
Nimeshuhudia wengi hotelini wanaagiza sahani ya chakula halafu wanakula chini ya robo, si wangeshinda njaa tu tukajua moja!
Ni kweli kabisa siyo tabia nzuri, bora hata uwe umepakuliwa utasingizia cha ajabu mtu kajipakulia mwenyewe, kama huna imani na chakula bora kupakua kidogo kujiridhisha Kama ni kitamu kikiwa fresh ndipo unaweza ongeza.