Ndugu wanajukwaa.
Imekuwa ni kawaida sana kwa watu wengi kuwapa kipaumbele mama zao huku wakiwasahau baba zao. Utakuta misemo kama vile hakuna kama mama, na pia nyimbo nyingi tu zinatungwa kuwaenzi akina mama kama vile ni wazazi peke yao. Hebu angalia hata wasanii wetu wakubwa wa muziki hapa Tanzania, ni kawaida kuwaona wamepiga na kuposti picha za mama zao na si baba zao.
Ni kwanini? Je hii ni sawa?