Hii tabia inakera sana!!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,370
Reaction score
2,715
Mtu umelala usingizi fofofo, mwenzio awe mke/mume, anavizia simu yako anaanza kuichambua kama karanga, kwenye photo gallery, whatsapp, kwenye sms, unaamka asubuhi, gubu ugomvi maswali na majibu shortcut, hadi amani ndani ya moyo na rohoni hutoweka....Mie sipendi sipendi tena, sipendi tabia hii ife kabisa, ya kupeana stress, kila mtu na simu yake. Mie mbona yako siichunguzi, matatizo mengine ya kujitafutia bure, mie nimezowea amani sipendi maudhi na karahaa kiukweli leo nasema!!
 
Nyumba hizi zina mambo mengi, kama mijusi na mende, wangekuwa wanaongea, wangeongea mengi huku majumbani kwetu, kwa sababu wao wanaona kila kitu vinavyofanyika majumbani.
 
Unaanza siku na mikosi [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Kama ni picha kweye gallery hatokuta Kwa sabab naziweka kwene Calculator plus..yani palee akiona ni calculator na inafanya kazi kabisa ilaa kwne zile namba nkiandika password yangu kisha alama % inafunguka hidden gallery.

Kuhusu msj natumia PSB ambayo ina option ya kuficha msj za private contact. kuzifungua mpaka kwene dialer naweka pwd kisha nakua kama napga,huko unakuta msj kbaoo.

Whatsapp natumia GBwhatsapp ambayo ina option ya kuhide chats nsizotaka zionekane, akifungua tsap yangu atakuta chats za kawaida tuu, Ila kuna sehm ukitouch itahtaj pattern then hizo chats zinakuja.

NB: sijaoa badooo
 
Embu toa vizuri hayo maujanja arif
 
Hujaoa pasword zote hizo?ukioa je
 
Embu toa vizuri hayo maujanja arif
nenda playstore search 'calculator photo vault' ile ya kwanza kabisa ndo nzuri mana na calculator yake inafnya kaz(INA rate ya 4.8).

kuhusu PSB inapatikana playstore pia..ukisha install utafanya baadh ya settings mfano kubadili notification ziwe zinaonekana vipi (msj Kwa kawaida ikiingia kwene simu kuna kile kisanduku kinaonekana pale juu kwene simu yako sasa Kwa usalama zaidi inabd kubadl ili huy unaemficha asikushuku). pia kuna kubadil neno ambalo liwe linaonekana pale juu kwne notification bar (MF. Mimi nmeweka 'please set up your email adress' [emoji3] kwahyo hakuna wa kushughulika Nayo)

Kuhusu gbwhatsapp hyo haipatkani play store, Google gbwhatsapp apk af ukisha install nenda kwene chat unayotaka kuihide Fanya kuminya Kwa mda kdg bila kuachia af utakuta options znakuja chagua hide a chat itakudai kuweka pattern ambayo utakua unatumia
 
Sasa kama unapenda amani kwa nini ukose amani na simu yako?!Tatizo lipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…