Nachangia laki moja beet mnagawa kiukoo mara rweyemamu mara mnampa kimarooo cc kina edward christopher tukipata mwanya take home lazima.HUMO NDANI NAJAZA BIEREEEEEEE NA CO
Ila mi kuna siku niliondoka na tunda la apple kwenye sherehe maana lilikuwa linagaiwa kila mtu sasa jamani ningeliacha?
Ila kuna jamaa yeye aliondoka na chupa ya wisky jackdaniel
kuna sherehe tulikuwa memba kama watatu tilikunywa aina zote za vinywaji baridi na moto, vya kulevya sana na kidogo ili kufidia kodi tuliyotoa, we! wacha tutapike! haya mambo yaache tu kama yalivyo
Mkuu ndo utamaduni wetu huo. Mimi ilishanitokea nimeweka kischana mfukoni kilichochanganywa na club soda kwa nini kisinipasukie mfukoni na kuadhirika! Sikurudia tena. Ahaaaaa