Hilo dowa jeusi lilikua kwenye lenz ya kamera. Angalia picha ya kwanza na ya pili utaona doa liko mahali tofauti kenye koti katika hizo picha mbili.
Kitu nimeona hapo ni jamaa wanakuafa kiofisa na tai shingoni - angalia wanavyo tokwa jasho. Nadhani vazi bora kwa mazingira yetu ni safari suit.