hii suruali ntamshonea mke wangu

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
02.jpg
 
Mimi ninachoshukuru ni huyu mama kuachana na lile wigi, kumbe hajambo kidogo!!
 
huyo waliye naye ni spika wa Rwanda Mh. Rose Mukantabana.
 
Mimi ninachoshukuru ni huyu mama kuachana na lile wigi, kumbe hajambo kidogo!!

JF ni kiboko!! inaibororesha jamii ya kitanzania, hata yule babu mkuu wa mkoa wa Dar alibadili uvaaji wake wa kuacha kifua nje nje.
 
hakuna kitu hapo,bora huyo wa rwanda wakuu,hukiwa na fikra za kifisadi/gamba hata sura inakuwa mbaya..
 
Back
Top Bottom