hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
Mengine yana nywele Mkuu
Hiyo huwa inapigwa na wembe na mma na sabuni chini ya mwembe mwana.
Wale wazee vinyozi wa zamani waliokuwa wanapiga kazi chini ya miembe ni noooomaaaaa.
Mzee hakukati wala nini. Anakutoa dongo la maana.
Ila wembe sasa walikuwa wana hifadhi for future use.
Maambukizi nje nje mwana.
Umenikumbusha longiiiii
Tako la sufuria!
Helmet

Kwa wenyeji wa Mkoa wa Kagera, ilikuwa baada ya mazishi ndugu wote wanapigwa kitu hii...sasa kwa kuwa wembe ulikuwa unarotate kwa watu zaidi ya 20 hii ilisababisha maambukizi makubwa sana ya Ukimwi...unknowingly au misinformed watu wanadhani ilikuwa ni sababu ya uzinzi but the fact ni hiyo
ilitoro mbane!!