mkuu naomba unielekeze jinsi ya kujiunga hyo meridianbet online, napenda kubet ila sipendi kusimama na watoto kwenye vibanda..
Hatua ya kwanza:
Hakikisha unatumia Vodacom M-pesa.
Hatua ya Pili:
Ingia
www.meridianbet.co.tz
Hatua ya tatu:
Click Sign up, anza kujisajili kwa kujaza detail zako za ukweli kabisa ikiwemo jina halisi, mahali unakoishi, sanduku lako la barua, na maelezo mengine utakayoulizwa yawe halisi kabisa.
NB: Hapo ukijaza fake detail utakuja kusumbuliwa sana likitokea tatizo.
Hakikisha e mail utakayoitumia kujisajilia ni ile ambayo iko active muda wote.
Hatua Inayofuata
Baada ya kumaliza usajili, ingia kwenye e mail yako, watakuwa wamekutumia LINK ya ku activate account yako. ACTIVATE IT...
Kumbuka: Usisahau e mail wala password yako. ukijiunga mara 2 kwa namba moja wanafunga account zako zote na pesa unaipoteza.
Ukishajisajili, ongeza pesa kwenye account yako kupitia M pesa.
Nitafute baada ya kujiunga nikuelekeza zaidi.. Charges apply.