Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 579
- 887
Kwa ajili ya kujenga ujinga unaoitwa "regase" kwa maliyemu.😂😂😂Juzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja tu inapita Chalinze ila nayo haiingii Magufuli Stand.
Nikaamua kwenda BM Coach nao wanasema hivyohivyo,nikaamua kwenda kampuni nyingine ya Dar Express lugha ni hiyohiyo.
Mwaka jana nilipanda Newforce nilikuwa naenda Njombe napo lugha ni hiyohiyo,hii Stendi iko kwa ajili ya nani?
Stendi ni ya magari yaliyopanga kupita hapo...Juzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja tu inapita Chalinze ila nayo haiingii Magufuli Stand wanapakizia kwenye Vituo vya Daladala huko Barabarani.
Nikaamua kwenda BM Coach nao wanasema hivyohivyo,nikaamua kwenda kampuni nyingine ya Dar Express lugha ni hiyohiyo.
Mwaka jana nilipanda Newforce nilikuwa naenda Njombe napo lugha ni hiyohiyo,hii Stendi iko kwa ajili ya nani?
Cha msingi walipe ushuru wa stand.Juzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja tu inapita Chalinze ila nayo haiingii Magufuli Stand wanapakizia kwenye Vituo vya Daladala huko Barabarani.
Nikaamua kwenda BM Coach nao wanasema hivyohivyo,nikaamua kwenda kampuni nyingine ya Dar Express lugha ni hiyohiyo.
Mwaka jana nilipanda Newforce nilikuwa naenda Njombe napo lugha ni hiyohiyo,hii Stendi iko kwa ajili ya nani?
watanzania ni watu wa kuhukumu sanaSerikali ya sasa inaondeshwa na wafanya biashara wanaodictate na serikali inafuata inachofanya. Sulala hapa ni kuweka sheria lazima basi zote zipite ndani ya stendi ya magufuri kwisha
Usibishe ndugu mabasi mengi yanpaki bara barani kwasababu wanazozijua wenyewe na mamlaka iko kimya na mamlaka ndio imerudisha kuwa na ofisi zao mijini nnje ya eneo husika kama walivyopanga.watanzania ni watu wa kuhukumu sana
jamaa amepita kwenye ofisi za mabasi manne tu anadai standi ya magufuli haitumiki. siyo kweli kabisa zaidi ya 90% ya mabasi yanaitumia ile stand unasemaje ya nn?
wakati mwingine tuwe na evidence
kupaki barabarani ni kitu kingine kuingia magufuli ni kitu kitu kingine. mabasi ya mwanza yanapaki barbarani lakini yanaingia magufuli sasa shida ikowapi?Usibishe ndugu mabasi mengi yanpaki bara barani kwasababu wanazozijua wenyewe na mamlaka iko kimya na mamlaka ndio imerudisha kuwa na ofisi zao mijini nnje ya eneo husika kama walivyopanga.
ila si urisafiri shida nini sasa mkuu unataka uone ubora wa maguJuzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja tu inapita Chalinze ila nayo haiingii Magufuli Stand wanapakizia kwenye Vituo vya Daladala huko Barabarani.
Nikaamua kwenda BM Coach nao wanasema hivyohivyo,nikaamua kwenda kampuni nyingine ya Dar Express lugha ni hiyohiyo.
Mwaka jana nilipanda Newforce nilikuwa naenda Njombe napo lugha ni hiyohiyo,hii Stendi iko kwa ajili ya nani?
Tuzungumzie yasio ingia ndio maana yanapakilia bara barani ndugu, hilo unalisemaje, nini malengoya hiyo stendi?kupaki barabarani ni kitu kingine kuingia magufuli ni kitu kitu kingine. mabasi ya mwanza yanapaki barbarani lakini yanaingia magufuli sasa shida ikowapi?
Serikali inayoshindwa kusimamia sheria ilizojiwekea ni serikali mufilisi. Hii nchi kwa sasa ipo kwenye auto pilot ndio maana unaweza kuamka asubuhi ukashangaa nyuma ya nyumba yako kinajengwa kituo cha mafuta.Serikali ya sasa inaondeshwa na wafanya biashara wanaodictate na serikali inafuata inachofanya. Sulala hapa ni kuweka sheria lazima basi zote zipite ndani ya stendi ya magufuri kwisha
Kweli kabsia kwanini serekali inakuwa kigeu geu? nia na malengo ilikuwa mabasi yote yatumie stendi hiyo naa za nnje zisiwepo, hilo halihitaji hata kutumia nguvu sana kuliona.Serikali inayoshindwa kusimamia sheria ilizojiwekea ni serikali mufilisi. Hii nchi kwa sasa ipo kwenye auto pilot ndio maana unaweza kuamka asubuhi ukashangaa nyuma ya nyumba yako kinajengwa kituo cha mafuta.
Waliokuwepo dar toka zamani wanajua kabisa stendi zamani ilikuwa kisutu, ikaja mnazi mmoja na baadae ubungo na mabasi yote yalitii. Ukishindwa kusimamia sheria ipo siku hata vituo vya mwendokasi vitageuzwa madanguro ya kufanyia mapenzi wakati wa usiku.
Hivi sasa kuna watu wana nguvu kuliko serikali. Wenye mabasi walimfokea RC Makalla kama mtoto alipopiga marufuku wenye mabasi kupakiza abiria kwenye stendi zao binafsi.Juzi niliamua kumsindikiza Rafiki yangu Arusha kutoa Mahari tukaenda Kilimanjaro Bus kukata tiketi nashangaa wanasema Mabus yao hayaingii Magufuli Stendi Gari zao zote zinapita Bagamoyo kuna moja tu inapita Chalinze ila nayo haiingii Magufuli Stand wanapakizia kwenye Vituo vya Daladala huko Barabarani.
Nikaamua kwenda BM Coach nao wanasema hivyohivyo,nikaamua kwenda kampuni nyingine ya Dar Express lugha ni hiyohiyo.
Mwaka jana nilipanda Newforce nilikuwa naenda Njombe napo lugha ni hiyohiyo,hii Stendi iko kwa ajili ya nani?
Haina tija kwa wasafiriSerikali ya sasa inaondeshwa na wafanya biashara wanaodictate na serikali inafuata inachofanya. Sulala hapa ni kuweka sheria lazima basi zote zipite ndani ya stendi ya magufuri kwisha