Hii star taimuz imekata kwangu tu au(arusha)

Fredyse17

Member
May 11, 2012
9
0
Kwanza kuanzia jana nimeshangaa sijalipia hata senti lakini napata channel zooote.......... Nimekula gudtym weeeeeee nashangaa leo mida ya mchana kitu imekata full tym inaniambia NO SERVICE ni kwangu tu ama na nyie ni hvo???
Kwa wale wa Arusha nijuzeni.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sio wewe tu hata mimi Mara ni hivyo ila jana ileie ilikata
 
Star taimuz ndo nini,brand za watu hizi,unaweza na strong case ukiileta kiivi inakuwa hoja nyepesi na ambayo majibu yake yanakuwa mepesi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom