Hii staili ya kujibu maswali inakera!!

Hii staili ya kujibu maswali inakera!!

Murano

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
2,056
Reaction score
1,128
Watu bana!! visa visa unamuuliza swali nae anakujibu kwa swali!!!

mfano UNAFANYA NINI HAPO
jibu: kwani we unaona nafanyaje?
 
huyo mtu aliejibu hivyo yuko sahihi coz kuna watu wa ajabu sana, yani anaona kabisa amekupigia cmu ucku wa manane then unapokea kwa sauti ilojaa usingiz then anakuuliza "ulikuwa umelala?".
 
au anakukuta unasoma gazet anakwambia naona unasoma gazeti ,

jibu hapana nafunga mangazi kwa hili gazeti.
 
Huyo anaepga cm ucku wa manane halafu anauliza umelala? dawa yake ni kumjibu unaotea jua
 
Hio ni kawaida yetu watanzania jmn......mtu haulizi hivyo kwa ubaya na si kwamba haoni unachofanya au nn........mfano mpo sehem wanapouza magazeti mnasoma wote headlines lkn anakuuliza" wameandika nn hapo?".......its just anataka mdiscuss na muongee. Na hio ni kawaida. Kwahio mtu saa zingine anakuuliza hayo maswali na kuchkua mda huo kufikiria
 
Watu bana!! visa visa unamuuliza swali nae anakujibu kwa swali!!!

mfano UNAFANYA NINI HAPO
jibu: kwani we unaona nafanyaje?

Kuna aina tatu za kujibu maswali according to mrisho mpoto swali kwa swali,swali kwa maelezo au swali kwa mkato.upo hapo
 
kuna mzungu alikutana na mtanzania ulaya, jamaa katika mazungumzo yake akamwambia yule mzungu kuwa watanzania ukiwauliza swali nao wanakuuliza swali, baada ya miezi mitatu yule mzungu akafanya safari kuja tanzania alipofika hotelini akawa anaongea na muhudumu akamuuliza "eti watanzania moja ya tabia zenu mkiulizwa swali nanyinyi mnauliza? yule muhudumu akamjibu wewe nani kakwambia? duh mzungu akachoka.
 
myu kama huyo simuulizi tena swali maana atanichosha tu
 
au anakukuta unasoma gazet anakwambia naona unasoma gazeti ,

jibu hapana nafunga mangazi kwa hili gazeti.

huyo anaeuliza kwa staili hiyo ujue kuna ki2 anashida nacho
 
Back
Top Bottom