Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 777
hujasomeka kama
huoni hiyo sponji iliyo ongezewa!!ukimkuta kapiga suruali utajua bonge la mguu au hips kumbe kuna sponji!hujasomeka kama
huoni hiyo sponji iliyo ongezewa!!ukimkuta kapiga suruali utajua bonge la mguu au hips kumbe kuna sponji!
Chupi imejaziwa ujazo kwenye hips na ---- alafu ikivaliwa kwa juu kitu kinaonekana namba 8
unapiga hivyo hivyo halafu unafuta na namba yake!!love at first sight,
ka ulipenda makalio unakuja kukutana na sponji sijui unafanyaje
Km vile huku ni kwa wakubwa tu kwani naona maneno km chupi........
Km vile huku ni kwa wakubwa tu kwani naona maneno km chupi........