Hii sio kabisa wadau!

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,473
16,124
Hivi inakuwaje ndege inakuwa na tyre vipara!? Nani anawajibika kuwakagua hawa watu!? Mungu ni mwema ilikuwa haina abiria ilipoburst.

Hii ni last week costal aviation walikodiwa kwenda kuwachukua wafanyakazi sehemu.
 

Attachments

  • 1452581984121.jpg
    1452581984121.jpg
    94.4 KB · Views: 20
Back
Top Bottom