Hii sio haki

Cheeeiiiii dyadyaaa uwe unachagua wa kukutumia nauli sio kwa uzaliLishaji huu...4800 ata hujazi mafuta kile ki ist chako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣hata petrol robo sipati jomoniiiii...cheeeiii....kwakweli hapana huu uzalilishaji kabisaa daaah!!!!
 
Inawezekana 4,800 Ya Mstaafu ikaonekana ndogo kwa maana vipato vyetu vinatofautiana, Ila tuachane na hcho kiasi tuzungumzie comitment ya huyo dada kwa Mstaafu. Kama mtu mmewasiliana na mkahama na server juu mkafikia makubaliano yenu nje ya Jf Halafu ghafla unakiuka makubaliano na kumpa block Juu huo sio Uungwana hata kidogo.
Kwa maana ilikua ni kias cha kumtaarifu tu nmeshindwa kuja kwa sababu fulan then maisha yaendlee, Why mtu aanike mawasiliano yenu humu Jukwan kwa gharama ya Tsh 4,800?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya kumekucha, mbona mie situmiwi nauli hivi nakwama wapi[emoji134][emoji134][emoji134]
Mwenza umezidi naww chaaa🀣🀣🀣🀣🀣tatizo unajitanda sanaa me nlikuambia uvae kimini hutaki...unaona watu wanatumiwa buku wewe hata mia hupewi🀣🀣🀣
 
Anaesema hio 4,800 ndogo amrudishie mstaafu thread ifungwe.
 
Mimi najitolea kurudisha hio 4,800/- kwa sharti moja. Nipe namba yake niendelee hapo ulipoishia.πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Mwenza umezidi naww chaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tatizo unajitanda sanaa me nlikuambia uvae kimini hutaki...unaona watu wanatumiwa buku wewe hata mia hupewi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mwenza na hizi spoku nikivaa kimini si tutatafutana mjini hapa[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…