Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,508
- 6,892
Ungenisoma vizuri, wala usinge leta picha za mamlaka ya Wapalestine ya juzi juzi; mi nimeeleza historia ya hawa watu before even Christ was born, we unaleta historia ya miaka ya juzi kati wakati hata TANU ikiwa imezaliwa bwana; well, naendelea tu kusisitiza, sishangai baadhi ya Waarabu kuunga mkono jitihada za Israel/Jews, shida ya hawa watu wala sio DINI kama ambavyo wengi hufikiri, shida ya hawa watu ni HAKI ya urithi wa ardhi cause wote hao ni watoto wa Ibrahim